Header ads

Header ads
» » Kampuni ya teknolojia ya Apple imeweka rekodi ya mauzo ya simu zake za iPhone 6S na iPhone 6S Plus.

Rekodi mpya ya mauzo ya iPhone 6S na iPhone 6S Plus

je, unafahamu ni simu ngapi za Apple iPhone 6S na iPhone 6S Plus zinazonunuliwa kwa kila sekunde moja?

Kampuni kubwa ya teknolojia ya Apple imeweka rekodi mpya ya mauzo ya simu zake za iPhone 6S na iPhone 6S Plus.
Apple imetangaza kuuza simu milioni 13 za iPhone 6S na iPhone 6S Plus ndani ya siku mbili pekee.
Idadi hiyo ni sawa na mauzo ya simu 75 kwa kila sekunde moja.
Hadi kufikia sasa, kampuni ya Apple imezidi kuonesha umahiri wake katika soko la simu huku ikitazamia kuweka rekodi nyingi zaidi za mauzo katika siku zijazo ulimwenguni.
Simu za Apple iPhone 6S na iPhone 6S Plus zitaingizwa rasmi kwenye soko la Uturuki tarehe 16 mwezi Oktoba mwaka huu.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post