Header ads

Header ads
» » Umoja wa Ulaya na China kushirikiana katika utafiti wa 5G


 

Umoja wa Ulaya unasema kuwa ushirikiano huu utaongezea vituo vya utafiti wa 5G na pia kufungua soko ya China kwa mashirika ya Ulaya.

Teknolojia ya mawasiliano ya kizazi cha 5 Maarufu kama 5G (fifth generation) huenda ikavumbuliwa kufikia mwishoni mwa mwaka huu. Hii ni kufuatia mkataba wa ushirikiano katika utafiti wa teknolojia hiyo uliotiwa saini baina ya China na Umoja wa Ulaya.
Kamishna wa Umoja wa Ulaya anayehusika na Uchumi wa Kidijitali na Jamii Gunther Oettinger alisema, "Teknolojia ya 5G ina umuhimu mkubwa hasa tukizingatia kuwa kiwango cha mawasiliano kinatarajiwa kuongezeka. Ushirikiano wa kimataifa unatarajiwa ili kufikia ndoto hii."
Hata hivyo Naibu Rais wa Umoja wa Ulaya Jyrki Katainen aliomba China kuwa na uhaki na uwazi katika sera na shughuli zao za kibiashara.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post