Header ads

Header ads
» » WhatsApp yajiwekea rekodi kwa kufikisha watumiaji milioni 900 kwa mwezi

Rekodi mpya ya Idadi kubwa ya watumiaji wa WhatsApp

Programu kubwa maarufu ya mawasiliano ya ujumbe ya WhatsApp, imejiwekea rekodi mpya kwa kufikisha idadi kubwa ya watumiaji.
Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na mkurugenzi mkuu wa WhatsApp Jan Koum, programu hiyo imeweza kuweka rekodi mpya kwa kufikisha jumla watumiaji milioni 900 kwa mwezi.
WhatsApp iliwahi kufikisha watumiaji milioni 800 katika mwezi wa Aprili, imefanikiwa kuvunja rekodi hiyo ndani ya miezi mitano na kujijengea sifa kama mojawapo ya programu zinazotumiwa zaidi duniani.
WhatsApp imeweza kuipiku programu ya Wechat kutoka China ilitangaza kufikisha watumiaji milioni 600 ndani ya miaka miwili ya hivi karibuni.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post