Header ads

Header ads
» » Mbwa amnyonyesha mtoto wa miaka miwili mwenye utapi wa mlo Chile

Mtoto anusurika kwa kunyonyeshwa na mbwa Chile

Mbwa ambayo inafahamika kwa jina la Reina imemuokoa mtoto wa miaka miwili ambae alikuwa akisumbuliwa na utapi wa mlo katika mtaa wa Arica.
Taarifa hiyo imepatikana baada ya mmiliki wa mbwa huyo ambae alikuwa na mimba kumfautilia mbwa huyo.
Mmiliki wa mbwa huyo alihamisha kuwa alishangazwa alipomuaona mbwa wake akimnyoshe mtoto huyo na baadae kutoa taarifa katika kituo cha Polisi.
Mtoto huyo ambae ni wakiume alichukuliwa na kupelekwa katika shirika na misaada ya kiutu kwa wototo ili kuhudumiwa.
Chile imeshangazwa na kisa hicho cham toto kunyonyeshwa na mbwa.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post