Header ads

Header ads
» » Uchunguzi kwa madai ya rushwa kuanzishwa dhidi ya majaji nchini Ghana


 Mahakimu Ghana kufanyiwa uchunguzi kwa madai ya rushwa

Uchunguzi wa kina kuanzishwa dhidi ya majaji nchini Ghana kwa shutma za ufisadi na uchunguzi uliofanywa na mwanahabari kwa muda wa miaka miwili

Baraza la mahakimu limetangaza kuwa majaji 22 wanashukiwa kushiriki katika shughuli zinazohusiana na rushwa.
Aremeyaw Anas,ni mwanasheria na mwanahabari mchunguzi amethibitisha kwamba tayari majaji 34 wamekubali kushiriki katika ufisadi na pesa walizozinyakua kimagendo.
Mwanasheria huyo amepewa kinga ili habari atakazozitoa ziwe za uhakika.
Kufuatia madai hayo ya rushwa mmoja wa mahakimu watuhumiwa alijiuzulu Jumanne.
Kulingana na takwimu za ufisadi za kila nchi duniani Ghana ilichukua nafasi ya 61 kati ya nchi 175 duniani.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post