Header ads

Header ads
» » Kidonge kipya kuzuia maambukizi ya maambukizi ya ukimwi

Kidonge kipya dhidi ya maambukizi ya ukimwi


Vidonge vya kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) vilivyofanyiwa majaribo kwa watu kadhaa Uingereza vimeonyesha matokeo mazuri.
Utafiti uliofanywa San Francisco baada ya watu 637 kupewa vidoge hivyo na kuvitumia kila siku umezaa matunda na watu hao kupatikana bila ya virusi hivyo.
Kidonge hicho kwa jina la Trivada kimetolewa na kiwanda cha Gileadi na kukubalika Marekani.
Hata hivyo Trivada hakizui magojwa mengine yanayotokana na ngono.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post