Header ads

Header ads
» » Kampuni ya Apple yazidi kusonga mbele kiteknolojia

 Kampuni ya Apple yazidi  kutia fora kiteknolojia

Ahadi ya kampuni ya Apple kuhusu kuendelea kuboresha uzuri na kuongeza hisia ya kubonyeza chandalua ya simu ya iPhone yatimizwa

iPhone yazindua muundo mpya wa chandalua unaoitwa “Force touch” uliokuwa na shinikizo nyeti katika chandalua hizo.
Watumizi wa iPhone watafurahia na kujishirikisha zaidi na simu zao kwa kugusa chandalua za simu na kupata hisia kama   maisha ya kweli kupitia simu.
Chandalua zitakuwa na uwezo wa kuleta hali halisi ya umbo,joto na sauti.
Teknolojia ya Force touch pia tayari inatumika katika saa na kipakatalishi ya kampuni ya  Apple.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post