Header ads

Header ads
» » Malkia Elisabeth wa Uingereza avunja rikodi ya kukaa muda mrefu katika utawala

Malkia Elisabeth II avunja rikodi ya kukaa muda mrefu katika utawala

Malkia wa Elisabeth wa Pili wa Uingereza azidi kuingia katika historia baada ya kuvunja rikodi ya kukaa muda mrefu katika utawala.
Malkia Elisabeth alitawazwa kuwa malkia alipokuwa na miaka 25 tarehe 6 Februari mwaka 1952.
Septemba 9 akiwa katika kusherehekea miaka yake 63 na miezi 7 na siku 3 za utawala wake.
Malkia Elisabeth amempiku mtangulia wake Bi Victoria mbae hadi sasa alikuwa akishikilia nafasi hiyo.
Akiwa na umri wa miaka 89 aliishi katika kipindi kigumu katika miaka ya 1990 kutokana na talaka za watoto wake 3 na ukimya usiokifani kufuatia kifo cha Diana.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post