Header ads

Header ads
» » Habari njema kwa wapenzi wa iPhone,simu mpya ya Apple iPhone 6S kuzinduliwa rasmi

Habari njema kwa wapenzi wa iPhone

Apple iPhone 6S kuzinduliwa rasmi tarehe 9 Septemba nchini Marekani

Hatimaye tarehe ya uzinduzi wa simu mpya ya Apple iPhone 6S iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na ghamu imebainika.
iPhone S6 itazinduliwa rasmi kwenye maonyesho ya Apple yatakayoandaliwa tarehe 9 Septemba katika mji wa San Francisco nchini Marekani.
Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa, simu ya iPhone S6 inasemekana kuwa na muundo unaofanana na iPhone nyinginezo ingawa itakuwa na maboresho makubwa ya kiteknolojia.
iPhone 6S itakuwa na skrini ya mfumo wa Force Touch, kamera ya ubora wa 12 MP, mfumo wa A9 Chipset, RAM ya 2 GB nna betri lenye uwezo wa kudumu kwa masaa mengi.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post