Header ads

Header ads
» » Hizi ndizo Takwimu za matumizi ya programu za App Store

 Takwimu za matumizi ya programu za App Store

Je, unafahamu ni programu gani zilizoshushwa mara nyingi zaidi katika jukwaa la App Store?

Kila siku maelfu ya watumiaji wa vifaa vya Apple hushusha programu na gemu mbalimbali katika jukwaa la App Store.
Kati ya programu na gemu zote, kuna zile zilizoshushwa na watumiaji wengi zaidi na zile zilizojiingizia faida kubwa zaidi ya fedha.
Ifuatayo ni orodha kamili iliyoandaliwa kulingana na takwimu za utafiti uliofanyika
Gemu zilizoshushwa mara nyingi zaidi;
1-Candy Crush Saga
2-Fruit Ninja
3-Angry Birds
4-Subway Surfers
5-Despicable Me
Gemu zilizoingiza faida kubwa zaidi;
1-Clash of Clans
2-Candy Crush Saga
3-Puzzle & Dragons
4-Game of Ware–Fire Age
5-Monster Strike
Programu zilizoshushwa mara nyingi zaidi;
1-Facebook
2-Facebook Messenger
3-YouTube
4-Instagram
5-Skype
Programu zilizoingiza faida kubwa zaidi;
1-Pandora Radio
2-LINE
3-Zoosk
4-Pages by Apple
5-Spotify

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post