Header ads

Header ads
» » Picha za Mahandamano ya UKAWA toka CUF hadi NEC kuchukua Fomu ya Urais


Baada ya mazungumzo kati ya Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam na Viongozi wa UKAWA, hatimaye jeshi la Polisi limekubali na kuruhusu maandamano ya mgombea Urais CHADEMA Mh. Lowassa yaanzie ofisi za CUF Buguruni kwenda Tume ya uchaguzi (NEC)


Mbunge  wa  Mbeya  mjini  mh. Joseph  Mbilinyi  akiwasili  makao  makuu  ya  CUF
 
 
 
Mwenyekiti  wa  NCCR- Mageuzi, mh. James  Mbatia  akiwasalia  wafuasi  wa  UKAWA
Mwanasheria  mkuu  wa  CHADEMA, Mh Tundu  Lissu  akiwasili


Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post