Header ads

Header ads
» » Kama wewe ni mpenzi wa Prison Break hii ni habari njema kwako

 Habari njema kwa wapenzi wa ‘Prison Break’

Kulingana na habari zilizotolewa na kituo cha televisheni cha Fox,filamu maarufu ya ‘Prison break’ itaendelea kupeperushwa hewani baada ya kusitishwa kwa muda wa miaka 6.

Filamu hiyo ambayo ilionyeshwa kwa mara ya mwisho mwaka wa 2009 inarejea ikiwa na ujumla wa vipindi 10.
Filamu hiyo itakuwa na maelezo ya kustaajabisha kuhusu kuwepo kwa waigizaji ambao hapo awali kulingana na filamu hiyo walikuwa wamefariki.
Licha ya kituo cha runinga cha Fox kutangaza kuhusu filamu hiyo haijabainishwa tarehe kamili ya kupeperushwa filamu hiyo tena hewani.
Paul Scheuring ndie mtaarishaji wa filamu hiyo iliopendwa mwaka 2005 na 2009.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post