Header ads

Header ads
» » Orodha ya majina ya wajumbe wa Kamati Kuu watakaoteua majina 5 Urais wa Tanzania!

 
1. Rais Jakaya Kikwete.

2. Dkt. Mohammed Gharib Bilal.

3. Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein.

4. Philip Mangula.

6. Balozi Seif Ali Iddi.

7. Mizengo Pinda.

8. Abdulrahman Kinana.

9. Vuai Ali Vuai.

10. Rajab Luhwavi.

11. Mohamed Seif Khatib.

12. Nape Nnauye.

13. Dk Asha Rose Migiro.

14. Bi.Zakia Meghji.

15. Anne Makinda.

16. Pandu Ameir Kificho.

17. Pindi Chana.

18. Adam Kimbisa.

19. William Lukuvi.

20. Emmanuel Nchimbi.

21. Jerry Silaa.

22. Prof. Anna Tibaijuka.

23. Stephen Wassira.

24. Shamsi Vuai Nahodha.

25. Hussein Mwinyi.

26. Prof. Makame Mbarawa Mnyaa.

27. Dokta Salim Ahmed Salim.

28. Maua Daftari.

29. Samia Suluhu Hassan.

30. Hadija H. Aboud.

31. Abdalla Bulembo.

32. Sophia Simba.

33. Sadifa Juma Khamis.

34. Jenister Mhagama.




Kwa mujibu wa Katiba ya CCM toleo la 2012, Kamati Kuu imeundwa na;

(a) Mwenyekiti wa CCM.

(b) Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaotokana na CCM.

(c) Makamu wawili wa Mwenyekiti wa CCM.

(d) Rais wa Zanzibar anayetokana na CCM.

(e) Makamu wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar anayetokana na CCM.

(f ) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayetokana na CCM.

(g) Katibu Mkuu wa CCM.

(h) Manaibu Katibu Mkuu wa CCM.

(i) Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Organaizasheni.

(j) Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Itikadi na Uenezi.

(k) Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa.

(l) Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Uchumi na Fedha.

(m) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano anayetokana na CCM, na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar anayetokana na CCM.
(n) Wajumbe wengine wasiozidi kumi na wane waliochaguliwa na Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa wakiwemo wanawake wasiopungua wanne, wawili kutoka Tanzania Bara na wawili kutoka Zanzibar.

(o) Mwenyekiti wa Taifa wa kila Jumuiya ya Wananchi inayoongozwa na CCM.

(p) Mwenyekiti na Katibu wa Kamati ya Wabunge wa CCM.

(q) Mwenyekiti na Katibu wa Kamati ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa CCM.

NOTA BENE:

1) Kwa mujibu wa taratibu na kanuni za chama, wajumbe wa Kamati Kuu ambao pia ni wagombea wa nafasi inayojadiliwa hawaruhusiwi kuhudhuria katika kikao cha kujadili na kupitisha wagombea.

2) Prof. Tibaijuka haruhusiwi kuingia kwenye vikao baada ya kusimamishwa kutokana na sakata la Tegeta Escrow Account.

3) Kuna uwezekano rupia ikawa imewafikia baadhi ya hawa wajumbe kutokana na mazingira ya kisiasa ndani ya CCM. Ingekuwa ni vizuri tukafamu wako katika kambi gani au mgombea yupi!

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post