Header ads

Header ads
» » Jenister Mhagama: Rais Kikwete hatovunja Bunge leo Tarehe 9 Julai, 2015

Jenister Mhagama, Waziri wa Nchi, Sera na Uratibu wa Bunge, ametamka kuwa leo Tar. 9 Julai 2015, Mh. Rais Kikwete hatolivunja Bunge Badala yake atalihutubia tu, baada ya waziri Mkuu Kulisitisha.

Mh. Mhagama aliendelea kusema, Mh. Kikwete anayo mamlaka hata baadaye kabla na hata baada ya uchaguzi kuitisha kikao cha Wabunge wakati wowote na kulivunja Bunge na kisha kusaini hati ya kulivunja Bunge kwa hiyo Wabunge wote wa sasa wakae standby.

Ameyasema hayo ndani ya kipindi cha Jambo Tanzania kupitia Television ya TBC -1

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post