Header ads

Header ads
» » Breaking news:"HAYA HAPA MAJINA 20000 YA JKT KWA MUJIBU 2015"

MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA ANAWATANGAZIA VIJANA IDADI 20,000 WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2015 KUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA . WANATAKIWA KURIPOTI KWENYE VIKOSI VYA MAFUNZO WALIVYOPANGIWA KUANZIA TAREHE 08 JUNI 2015. MAFUNZO YATAANZA RASMI TAREHE 15 JUNI 2015 NA KUMALIZIKA TAREHE 15 SEPTEMBA 2015.


YAFUATAYO YAZINGATIWE:
VIJANA WANAOTAKIWA KUJIUNGA WAWE RAIA WA TANZANIA.


WARIPOTI WAKIWA NA VYETI HALISI VYA KUZALIWA NA KUMALIZA KIDATO CHA SITA (LEAVING CERTIFICATE).


VIJANA WENYE ULEMAVU UNAOONEKANA WARIPOTI KIKOSI CHA RUVU.





1.Mfano paul john(jkt)
2.tuma kwenda namba 0768260834
3.huduma hii tutakutoza tshs.10000 kwenda namba 0768260834(mpesa) au 0652740927(tigo pesa)
4.Tutakujibu ndani ya dk 1 moja.USIPIGE SIMU.
5.Hatuhusiki na JKT sisi tunatoa huduma ya Internet cafe tu. thanks

KUANGALIA JINA LAKO BONYEZA HAPO CHINI;

WALE WENYE MATATIZO AMBAYO YATAPELEKEA KUTOKUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KWA SASA WAANDIKE BARUA YA MAOMBI YA KUAHIRISHA MAFUNZO KWA MKUU WA JKT WAKIAMBATISHA VIELELEZO VYA TATIZO HUSIKA. MAWASILIANO YOTE YAFANYIKE KUTUMIA ANUANI IFUATAYO

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post