 
    
    
Shirikisho
 la kanda kanda nchini England FA sasa linakusudia kuandaa sheria 
itakayo kupunguza idadi ya wachezaji kutoka nje ya nchi za Umoja wa 
Ulaya watakaosajiliwa katika ligi za nchi hiyo.
Mwenyekiti wa 
shirikisho hilo Greg Dyke asema kwamba ligi kuu ya England ipo kwenye 
hatari ya kutowasaidia wachezaji raia wa Uingereza kama hatua 
hazitachukuliwa.Katika mpango pia itaweka sheria ngumu kwa wachazaji wenye vipaji waliokulia nchini humo.
 
 
 
 
 
 
 
