Header ads

Header ads
» » TAARIFA: LEO NI SIKU YANGU YA KUZALIWA

 
 
Leo terehe 18 July ninaadhimisha siku yangu ya kuzaliwa,namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuifia siku hii ya leo. Lakini pia naomba kutumia wasaha huu kuwashukuru wazazi wangu kwa malezi yao mema, na Bila kuwasahau wadau wangu wote mnaoungana nami kila wakati na kuakikisha Mambo yanakwenda vizuri. Sina cha kuwalipa na wala sitaweza kumshukuru kila mmoja kwa wakati wake, chamsingi  naomba wote mpokee shukrani zangu za dhati.Mungu awabariki sana..
               RAMADHAN KAREEM.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post