



Vifaaa vinavyodaiwa kuitungua ndege iyo

Shirika
la ndege ya Malaysia limethibitisha kupoteza mawasiliano na ndege yake
namba MH17 iliyokuwa ikitokea Amsterdam, Uholanzi kuelekea Kuala Lumpur.
Malaysia Airlines imethibitisha taarifa hizo kupitia akaunti yake rasmi
ya twitter. Ndege hiyo ilikuwa imebeba watu 295. Taarifa kutoka Moscow
zinasema ndege hiyo imepatikana ikiwa imeanguka na inawaka moto
mashariki mwa Ukraine
