Header ads

Header ads
» » » STORI KAMILI KUHUSU VURUGU ZILIZO TOKEA BAADA YA BRAZIL KULA KICHAPO CHA 7-1 NA A WAJERUMANI: ipo hapa



Basi lililochomwa na mashabiki wa Brazil waliokuwa na hasira likiteketea kwa moto.
Vikosi vya zimamoto vikijaribu kuzuia moto huo.
Taswira baada ya basi hilo kuteketea kwa moto.
Polisi wakimdhibiti shabiki huko Belo Horizonte baada ya mechi ya nusu fainali.
Mashabiki wa Brazil wakiwa na majonzi baada ya kipigo cha 7-1.
BAADA ya kubugizwa mabao 7-1 na Ujerumani katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia 2014, mashabiki wa Brazil wameamua kuchoma moto basi.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo huko Sao Paulo nchini humo baada ya mechi hiyo iliyopigwa Belo Horizonte.
Mashabiki walichukua hatua hiyo kutokana na hasira za timu yao kuondolewa katika michuano hiyo inayofanyika nyumbani kwao.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post