Header ads

Header ads
» » STORI KAMILI KUHUSU KUHALALISHWA MATUMIZI YA BANGI UKO MAREKANI


Unaambiwa Matumizi ya Bangi kama kiburudisho yamehalalishwa kutumika kwenye jimbo la Washington nchini Marekani.
Washington ni jimbo la pili nchini Marekani kuhalalisha Bangi baada ya Colorado ambako jimbo hilo linajipatia mamilioni ya dola kila mwezi kwa ushuru unaokusanywa kwa biashara za Bangi kwa wanaoitumia kujiburudisha.

ganjaaKwa sasa ni maduka 25 pekee yaliyoruhusiwa kuuza Bangi ingawa wadau wanaamini kuwa idadi ya maduka huenda ikaongezaka na kufika miamoja katika sehemu zingine za Marekani, majimbo 23 yanaruhusu matumizi ya Bangi kwa sababu za kimatibabu.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post