Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh. Othman Chande (katikati) akiwaongoza
majaji mbali mbali wakati wa Sherehe ya 50 ya kuanzia mwaka 1986 ya
kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya,iliyofanyika leo kwenye Viwanja
vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam
Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.