Usiku wa kuamkia leo maeneo ya Ambassador Lounge, Kajala alifanyiwa bonge la welcome back party. Party hiyo ilihusisha mastar na mashabiki wake binafsi ambao wengi hawajawai kumuona tangu atoke Segerea.
Hizi ni baadhi za picha.
Unknown Sunday, 7 April 2013 0 No comments
Distributed By TeknoTaarifa Media and Tech Services | Designed by Abdallah Magana