Safari ilianza siku ya jana kuelekea kwa wakwe zake Moshi, ambapo leo
hii PJ amefanikiwa kuktana na wazazi wa mkewe mtarajiwa na kupeleka
chochote kitu..akiwa mwenye furaha PJ ambae pia ni mtangazaji wa kipindi
cha asubuhi kutoka Clouds Fm "Power Breakfast" aliongozana na mkuu wa
vipindi kutoka clouds Sebastian Maganga, mtangazaji mwenzake Barbara
Hassan na wengineo
Mkuu wa vipindi Clouds bwana Sebastian Maganga