Nawatakia heri ya chrissmass, Wadau wangu wa nguvu ,jamaa na
marafiki zetu.Hatuna budi kumshukuru mungu kwa wema wake na upendo wake
kwetu kwani ametuwezesha tena kusherehekea siku hii ya kuzaliwa bwana
yesu.Wapo tuliosherehekea nao mwaka jana lakini kwa mapenzi ya mwenyezi
mungu hatunao leo hii ameshawaita mbele ya haki.
Naomba
niwatakie mapumziko mema ya sikukuu,msherehekee salama kwa amani furaha
na upendo..mshikamano katika familia zenu.Upendo utakao uonyesha leo kwa
familia yako au jamaa zako udumu usiishie tu katika siku za sikukuu.