Rapa nguli nchini Marekani Jay-Z amefanya kufuru baada ya kutangaza kuwa atanunua kisiwa chake binafsi katika eneo la la Bahamas, kwa ajili ya mapumziko na familia yake
Vyanzo vya habari vilivyopo karibu na nyota huyo vilieleza juzi kuwa ametenga pauni milioni mbili ili kununua eneo hilo lililopo kaskazini mwa wilaya ya Abaco kwa ajili ya familia yake