Header ads

Header ads
» » » ALICHOKISEMA KALA JEREMIAH KUHUSU VIDEO YA KULALA KITANDA KIMOJA NA DAYNA NYANGE


Kutokana na habari za Kala Jeremiah na Dayna Nyange kuzagaa mtaani na kusema kuwa walishare kitanda kimoja, na video iliyopo youtube. leo ameamua kuvunga ukimya na kufunguka hivi:


sIKU CHACHE ZILIZOPITA TUKIWA MKOANI SINGIDA MIMI NA DAYNA NYANGE PAMOJA NA KITALE RAIS WA MATEJA TUKIWA HOTELINI TUKIANGALIA TANGAZO LA MOVIE MPYA YA KITALE NA HAYATI SHARO MILIONEA AMBAYO ITATOKA HIVI KARIBUNI BAADA YA KUANGALIA TANGAZO HILO NDIPO UKAIBUKA MJADALA KUTOKA KWA KITALE AKIDAI ALIKUWA AMEPANGA KUFANYA MOVIE NYINGINE NA MAREHEMU SHARO. NDIPO AKAULIZA KAMA SISI TUNAWEZA KUFANYA MOVIE?.
TUKASEMA MBONA MZUKAA TU. KI UKWELI KITALE SIYO MTU WA KWANZA KUNIOMBA KUCHEZA MOVIE ILA NILISHANGAA KUONA NAKUBALI KI URAHISI NA HASA BAADA YA KUNIPA STORY YA MOVIE YENYEWE BASI BWANA KILICHOFUATA AKASEMA NGOJA NIWAPE SCENE MOJA MJARIBU TUONE hahahahahaha KILICHOFUATA KILA MTU HAKUAMINI SI NDO TUKAKAMUA KWA UWEZO KULIKO HATA WALE WENGINE!.
KILA MTU ALIYEKIONA KIPANDE KILE TULICHOKISHOOT ALIKUBALI KUWA KWELI SANAA KWENYE DAMU
BAHATI MBAYA ZAIDI KIPANDE HICHO KILIPOINGIA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KILA MMOJA ALIKIPA KICHWA CHA HABARI ALICHOTAKA YEYE MWISHO WA SIKU KIKAZUA GUMZO KUUUUUBWA NA HASA KWA WATU AMBAO SIMU ZAO HAZIWEZI KUANGALIA VIDEO WALIISHIA KUSOMA VICHWA VYA HABARI NA KUSHINDWA KUELEWA KAMA KWELI MCHUNGAJI KAFANYA VILEEEEEE?
MPAKA LEO KUNA MASWALI MENGI SANA VICHWANI MWA WATU. KIPANDE HICHO KINACHOWACHANGANYA WATU NI HIKI HAPA

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post