haya ni ktk kwa penny #me, #moviefreaks, #partnerincrime, #identitythief, #maajabu, #leojamaahasinzii, #missmet, #besty, #lovehim, #boyfy, #menginetuwaachiebabanamaaamaa, |
majibu ya maswali yenu ndio haya ooh baby mama kaachwa |
Sincerely, mmenishangaza na comments zenu kuyaamini magazeti, mengine yameandika hiki ama kile sasa nataka kukwambia si magazeti yote yanaandika ukweli, jana usiku wawili hawa walikuwa tight na kukumbatiana century cinemax na lile baridi kama nawaona.
mimi sisemi mengi mliniomba nifuatilie na haya ndiyo majibu,,,, Diamond na Irene si wapenzi
I do the seeking and you do the judging.