Header ads

Header ads
» » Kazakhstan yapiga marufuku matumizi ya Smartphones katika ofisi za serikali


Maafisa pamoja na wageni wao watalazimika kuacha simu aina za Smartphones katika milango ya ofisi za serikali kwanzia tarehe 24 mwezi Machi.
Serikali ya Kazakhstan ilitoa uamuzi huo kwa lengo la kuzuia uvujaji wa nyaraka nyeti za serikali.
 Kazakh President Nursultan Nazarbayev visits Germany in January 2015.
 Rais wa Kazakhstan Bwana Nursultan Nazarbayev

Serikali itaanzisha sheria hiyo baada ya kuongezeka kwa kesi za mara kwa mara za kuvuja kwa habari za siri kupitia mtandao wa kijamii wa watsapp.
Hati kamili ya sheria hiyo mpya ilichapishwa mashirika ya habari nchini humo.


CHANZO: bbc.co.uk
MHARIRI: Abdallahmagana.com

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post