Simu feki za android zipo madukani kwa wingi na tayari zimejipatia jina maarufu la ”kloni”. Itakushtua zaidi kwamba simu hizi zinafanana sana na orijino na si rahisi sana kuzigundua kwa haraka.
Kloni zimekuwa gumzo sana kwa Android kwa sababu, tofauti na
mifumo endeshaji mingine, Android haimilikiwi na mtu au taasisi yoyote bali,
inalelewa na Google. Kwa sababu hii, kampuni yoyote inaweza kuitumia itakavyo
na kwa minajili hiyo, wafanyabiashara waovu huitumia kuwarubuni watu wengine.
Ufanye nini kubaini simu halisi?
Kubaini simu halisi si jambo rahisi. Jambo hili linategemea sana
muda na uerevu wako, hata-hivyo, kuna njia chache za kukusaidia kuibaini simu
halisi ya Android:
1. Angalia kwa makini jinsi simu ilivyotengenezwa
kwa nje
Simu feki hujulikana kirahisi ukiangalia jinsi vibonyezo
(batani) zilivyotengenezwa. Kloni huwa na batani zilizolegea na umakini wa
kutengeneza simu nzima huwa mdogo sana. Unaweza kuangalia pia jinsi jina la
simu husika lilivyoandikwa, kamera, ‘sensor’, umbali wa skrini kutoka pembezoni
na mwanga wa skrini ya simu. Hizi huonekana tofauti sana na zile za simu halisi
na itakuwa vizuri ukibeba simu uliyo na uhakika nayo ili kutofautisha.
2. Tumia kamera na angalia spidi ya simu
Kitu cha pili muhimu kuangalia ni camera. Simu feki hujitangaza
mapema kabisa kwa kamera yake. Picha ya simu feki haiwezi kuwa maridadi.
Chunguza sana jambo hili. Lazima kuwepo na ukungu-ukungu utakaojionyesha.
Ukimaliza hapo, shusha programu moja nzito kama Google Drive au Google Docs na
angalia jinsi hiyo simu itakavyoimudu. Kama ni simu inayofanana na ya bei kali
kama Samsung Galaxy S5, shusha gemu moja nzito na angalia jinsi itakavyoimudu
pia. Kama simu itaonyesha kulegalega, basi ongeza mashaka.
3. Chunguza Uwezo wa simu
Unapopata simu ya Android, jaribu kuingia mtandaoni na kutafuta
uwezo ( ‘phone specifications’ ) wa simu husika kwa ku-google kwa mfano,
‘Samsung S5 Specifications’. Ukishapata orodha ya uwezo wa simu husika, ingia
kwenye settings na tafuta ‘Storage’ na pia angalia ‘About Phone/Device’ kwa
ajili ya ‘model number’ na ‘build number.’ Hapa utaweza kuhakiki uhifadhi
wa simu na pia namba ya modeli ya simu na pia build number ambayo unaweza
kutafuta mtandaoni kama zinalingana. Ingawa simu nyingine zinaweza kudanganya
uwezo, unaweza pia kushusha program mojawapo kama CPU
/ RAM / DEVICE Identifier kudhibitisha prosesa na kumbukumbu (RAM).
4. Tafuta ‘code’ maalum kwa simu husika
Watengenezaji wa simu wanajitahidi sana kulinda biashara yao na
kwa maana hiyo huweka namba maalumu (‘service test codes au secret codes’) za
kuhakiki uwezo wa simu yako kwa usalama zaidi. Namba hizo unaweza kuzipata
ukichukua muda kidogo na kuchungulia mtandaoni.
5. Tumia programu ya kompyuta
Unaweza kuhakiki simu halisi kwa kutumia programu maalumu ya
kampuni husika. Hizi programu zinapatikana kwenye kurasa rasmi za kampuni za
simu kubwa duniani. Ukiunga simu kwenye kompyuta kwa kutumia USB, programu hizo
zina uwezo wa kukupa modeli namba ya simu hiyo na taarifa nyingine muhimu
kuhusu simu hiyo.
Ingawa elimu kidogo inaweza kukusaidia sana kuepukana na
matapeli, kinga ni vyema zaidi kuliko matibabu. Hii ina maana kwamba,
itakupendeza zaidi kama utajiwekea kanuni za msingi ili kamwe usipate mkasa wa
kupoteza hela kwa simu feki. Kumbuka vitu hivi vya msingi sana:
BUKOBAWADAU
SEARCH -TAFUTA
.
Home
BUKOBA
#Team Kanyawela#Njia rahisi za kutambua simu feki na simu orijino
(1) Kabla kununua simu ikague kwa kupiga *#06# namba zinazoitwa
imei(international mobile equipment identity) zitaonekana. Hizi namba
ziko 15 au zaidi na ni lazima zianze na namba 35. kinyume na hapo hiyo
feki... na km umepiga hiyo namba na imei hazijaonekana, hiyo pia feki
tena aliyefekisha ni mbulula.
(2) Angalia kama hizo namba za IMEI zinafanana na zile namba za nyuma
ukichomoa betri pale chini. km hazifanani thats fake. Acha kununua simu
kichwakichwa kisa umeona ina tochi mbili na laini
(3) Take your time
Share on facebook Share on twitter Share on email Share on print More
Sharing Services 0
Posted by Bukobawadau at 4:31 PM
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook
Reactions:
3 comment:
Anonymous said...
kanyawela nimewaelewa sanaaaaaa,asanteni nishabonyeza ki nokia
changu IMEI nimeisoma live.abela wa bocko
May 17, 2013 at 10:52 AM
Cymah Wandelt said...
iPhone yangu imeanza Na 0 Na namba 15 u mean my iPhone is fake lol!
Naamini mswed hajaniuzia fake
May 17, 2013 at 12:19 PM
Anonymous said...
Mimi imetokea IMEI 0/02 kwenye galax Sll yangu. Hiyo ni feki?
May 18, 2013 at 2:24 PM
Post a Comment
Newer Post Older Post Home
Translate
Select Language▼
MC BARAKA
#HUYUNDIYEKURAYANGU
COUNTER VISITORS
web stats
0715505043 / 0784505045
.
0768397241 / 0754505043
My Photo
Bukobawadau
Contact us: Email:bukobawadau@gmail.com Phone :Mc baraka:O784
505045,0754 505043,0715 505043 Sir.loom inc:0713 397241
View my complete profile
Popular Posts
LOWASSA KAMA LULU TANGA
Mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chadema anayeungwa mkono na vyama
vinne vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA, Mh.Edwrad
Lowass...
HABARI PICHA MAPOKEZI YA MWILI WA MZEE JOSEPH MSHUMBUSI MJINI BUKOBA
LEO SEP 10.
Mjini Bukoba mamia ya watu na Viongozi mbalimbali wamejitokeza
Uwanja wa ndege kushiriki mapokezi ya Mwili wa marehemu mzee Joseph
Mshu...
VIDEO /PICHA MTITI WA LOWASSA BUKOBA LEO
Mkutano wa Mgombea Urais wa Chadema kupitia Mwamvuli wa UKAWA,
Edward Lowassa, leo Viwanja vya Gymkhana Mjini Bukoba ,hakika tunapata
kush...
SIMULIZI ;UNFORTUNATE LOVE SEHEMU YA 1.
katika maisha yangu ya kimapenzi nilishwahi kutoka na kufanya
mapenzi na wanaume wanne na nikadanganywa, nikaumizwa na kukosa raha,
niliku...
HII NDIYO NYUMBA YA KISASA ILIYOPO KIJIJINI BUGANGUZI YENYE SIFA NA
VIGEZO STAHILI
Naam!Kwa mara nyingine libeneke la Bukobawadau linakuletea taswira
kamili ya moja kati ya nyumba iliyopo kijijini Buganguzi Wilayani
Mule...
MAGUFULI BUKOBA KEEPS IT AT THE PEAK
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya
wananchi...
LOWASSA MJINI MULEBA, MKOANI KAGERA LEO
MAELFU ya wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa
Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
...
MTITI WA LOWASSA MJINI BUKOBA NI BALAAA!
Mkutano wa Mgombea Urais wa Chadema kupitia Mwamvuli wa UKAWA,
Edward Lowassa, leo Viwanja vya Gymkhana Mjini Bukoba ,hakika tunapata
kush...
MATUKIO SEND OFF YA MREMBO IRENE KAYUNGA
Matukio yaliyojili wakati wa tafrija maalum ya kumuaga Biharusi
mtarajiwa Bi Irene Kayunga (pichani kulia)na kumtakia kila la heri
katika ...
'LWAKIS' AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI KUUSAKA UBUNGE JIMBO
LA BUKOBA
Matukio yaliyojiri jana mkutano wa UKAWA wakimnadi mgombea wa
Udiwani kata ya Hamugembe,Uliofanyika katika Viwanja vya
Kashabo-Kanisani,...
MANJI VS MENGI
CLOUDS TV
SEMADAT BLOG
CHINGAONE
MWANAHARAKATI MZALENDO
HARAKATI360
MCHIMBUZI.COM
RIDDIM MUSIC
INNOCENT.M.BLOG
JEDDY BLOG
WATEMI.COM
MILLARDAYO
THE CHOICE TANZANIA
4BLACK AMERICA
AL JAZEERA
MIRROR UK
GOVERNMENT BLOG
JOKATE.TV
DJ COOLMC MUSICPLACE
NIKE
Tanzania Daima
LENZI YA MICHEZO
MAJIRA
IKULU
WIZARA YA AFYA
TWENDE HARUSINI
JAMII FORUMS
PAMOJA
CCM CHAMA
DAILY NEWZ
HAKINGOWI
CHICHI HOTEL
SANGA FESTO
SHAFFIHDAUDA
NDGSHILATU
IPP MEDIA
BUNDAKA WILLIAM
RAIA MWEMA
WILLIAM MALECELA
NEWERALIMITED
MTV BASE
CHADEMA BLOG
GOAL
DJ FETTY
KABELEJE JR.
TUNEIN
RADIO MBAO
NEW COFFEE TREE HOTEL
DINAMARIOS
BUGANDO
LIVINGWATERCENTERKAWE
WAVUTI
KAJUNASON
G sengo
JUKWAA HURU
MICHUZI
UNIQUE ENTERTAINMENT
Tanzania Real Estate
FOLLOW US
Followers
AIRTEL MONEY
BONGO FLEVA
IDADI YA WATU
free hit counter
Labels
b (1)
BUKOBAWADAU BLOG (2)
M (1)
Rais Kikwete akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wananchi wa Muleba
baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji kwa wilaya hiyo (1)
Blog Archive
WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043
.
SIR.LOOM INC & MC BARAKA
.
IDADI YA WATU
[free website hit counter]
hit counter html
Copyright © 2015 BUKOBAWADAU . MODIFIED BY SALUM S.GALIATANO (SIR.LOOM
INC.)
Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzuluv
Au tumia njia hii rahisi piaCopy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzuluv
1) Kabla kununua simu
ikague kwa kupiga *#06# namba zinazoitwa imei(international mobile equipment
identity) zitaonekana. Hizi namba ziko 15 au zaidi na ni lazima zianze na namba
35. kinyume na hapo hiyo feki... na km umepiga hiyo namba na imei
hazijaonekana, hiyo pia feki tena aliyefekisha ni mbulula.
(2) Angalia kama hizo namba za IMEI zinafanana na zile namba za nyuma ukichomoa betri pale chini. km hazifanani thats fake. Acha kununua simu kichwakichwa kisa umeona ina tochi mbili na laini
(3) Take your time
(2) Angalia kama hizo namba za IMEI zinafanana na zile namba za nyuma ukichomoa betri pale chini. km hazifanani thats fake. Acha kununua simu kichwakichwa kisa umeona ina tochi mbili na laini
(3) Take your time
Moja: Nunua simu kwenye duka linaloaminika.
Pili: Ikiwezekana, jaribu sana kununua simu
kwa garantii ya muda mrefu.
Tatu: Epuka matapeli. Kama umepata dili
linaloonekana kuwa zuri kupindukia, tumia njia hizi nne ulizopata hapa na kama
bado hauna uhakika – achana nayo.