Otto Perez alishtakiwa kwa kuunda kashfa iliyokuwa na jina la siri la "La Linea".Waingizaji wa bidhaa nchini walitumia "La Linea" kuingiza bidhaa nchini bila ya kuzilipia ushuru wa forodha na badala yake walitoa rushwa.
Wananchi chini humo walifanya maandamano ya kumtaka rais huyo ajiondoe madarakani kwa shutma za ufisadi.
Perez ametajwa kuwa rais mfisadi zaidi katika historia ya marais wa Guatemala