iPhone yazindua muundo mpya wa chandalua unaoitwa “Force touch” uliokuwa na shinikizo nyeti katika chandalua hizo.
Watumizi wa iPhone watafurahia na kujishirikisha zaidi na simu zao kwa kugusa chandalua za simu na kupata hisia kama maisha ya kweli kupitia simu.
Chandalua zitakuwa na uwezo wa kuleta hali halisi ya umbo,joto na sauti.
Teknolojia ya Force touch pia tayari inatumika katika saa na kipakatalishi ya kampuni ya Apple.