Uzinduzi huo wa huduma ya mitandao ya mitaani kutoka Google
kwa hifadhi hizo Kenya zimeanzishwa hasa kusaidia katika uhifadhi wa
ndovu ambao wamo hatarani zaidi kufuatia kuwa na ongezeko la biashara ya
pembe za wanyama hao.
Picha maalum za wanyama,maeneo ya hifadhi hizo zilizoonyesha vumbi jekundu lilosambaa katika magari maalum ya kufanyia safari katika mbuga hizo zimechukuliwa.
Hapo awali picha zilizotumika katika "Google Street view" zilizua malalamishi kwa misingi ya kutaka faragha katika maeneo fulani.
Aidha wazo hili litawawezesha watamazaji kubonyeza na kupata mtazamo wa karibu wa makundi ya ndovu.