Mahakama ya jijini Cairo imemuhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela muimbaji Reda al-Fouly baada ya kuonekana katika kanda yake ya video akiwa anacheza na kuimba akiwa kavalia nguo ambayo haiheshimu maadili ya Misri.
Mahakama hiyo ilifahamisha kuwa msanii huyo alikamatwa Jumapili baada ya kuonekana katika video hiyo katika mtandao wa YouTube.
Reda al-Fouly alionekana katika video hiyo akiwa kavalia nguo fupi na kuonekana mara kwa mara akiwa nusu kifua wazi akicheza.
Muandaaji wa video hiyo ambae alifahamika kwa jina la Wael Elsedeki pia alihukumiwa akiwa safarini.
Mwezi April msanii mwingine kwa jina la Safinaz alihukumiwa kifungo cha miezi 6 baada yakamatwa kavaa nguo zenye rangi ya bendera ya Misri.
Msanii huyo aliachiwa huru kwa dhamana.