Header ads

Header ads
» » Watu wapatao 25 wamekufa katika mji wa Mumbai nchini India baada ya kunywa Gongo



.
Wengi wao wamelazwa hospitali.
Waziri kiongozi wa jimbo la Maharashtra ametaka ufanyike uchunguzi, watu watatu wamekamatwa.
Pombe haramu aina ya gongo inayotokana na mahindi inanyweka kwa kiasi kikubwa nchini kote India ambako wakati mwingine pombe hiyo inauzwa chini ya dola moja ya Kimarekani, ikisababisha vifo vya mara kwa mara.
Karibu watu 170 wameripotiwa kufa katika jimbo la Bengal baada ya kunywa pombe hiyo maarufu kama "moonshine"

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post