Madaktari kutoka hospitali za MD Anderson na Hoston Methodist walishirikiana katika hatua hii muhimu katika sekta ya upandikizaji.
Kiongozi alieongoza kundi la madaktari katika shugjuli hiyo ya upandilizaji wa fuvu alifahamika kwa jina la Dr Michael Klebuc.
Jim Boysen mwenye umri wa miaka 55 alipimwa na kukutwa saratani katika ubongo mwaka 2006.
Jim Boysen alifanyiwa upandikizaji wa fuvu Mei 22 huku madaktari wakifahamisha kuwa Jim anapata nafuu na hali yake ni ya kuridhisha.