Mwanasiasa huyo ni mgombea pekee wenye umri mdogo miaka 31 kutoka katika kata ya tegeta jimbo la kawe kwa miaka 20.
Nchi za Afrika Mashariki zimekuwa na wanawake wachache katika nafasi za uongozi tangu mwaka 1992 ulipoanzishwa mfumo wa vyama vingi.
Asha ametoa taarifa kwa shirika la habri la Reuters kuwa baadhi ya wanawake wamekuwa ni wepesi kutoa rushwa ya ngono kwa ajili ya kupata kazi au kupandishwa cheo kazini.