Jaji Agustino Ramadhani kuchukua fomu ya kuwania Urais, akiandika katika ukurasa wake wa Instagram na twitter Ridhiwani kikwete ameandika hivi.
Mchakato unanogeshwa zaidi na Muadilifu, Mchungaji na Nguli katika Fani ya Sheria Le Afande Brig. Mstaafu Augustino Ramadhani. Hii ndiyo Ccm Bwana.