Mkali kutoka tanzania Alikiba ameamua kusema tarehe rasmi ya video yake ya cheketua ambayo watu wengi walikua wakiisubiri kwa hamu sana
Video hiyo ya msanii alikiba imefanyika nje ya nchi na hii kufanya watu wengi kutamani kuona kile ambacho alikiba anawaletea kutoka nje
Alikiba akizungumza na kituo kimoja cha radio hapa tanzania alisema "Unajua sisi tunapanga yetu lakini mungu nae pia ana panga yake , video ya cheketua itatoka rasmi kesho 29 juni kama mwenyezimungu akipenda " alisema kiba