Header ads

Header ads
» » Waziri Simbachawene aiagiza TANESCO kuvunja mkataba na SELCOM wa kuuza umeme wa LUKU


Waziri wa Nishati G. Simbachawene aiagiza TANESCO kuvunja mkataba na Selcom kuuza umeme wa Luku baada ya kushindwa kazi...leo ni siku ya tatu wateja wa Tanesco hatuwezi kununua Luku Kwa Kutumia Mitandao ya Simu, Hili limekuwa Tatizo sugu linalojitokeza mara kwa mara

Selcom ni Platform inayotumiaka na Tanesco kuunganisha kati ya mitandao ya Simu na Mitambo ya Tanesco..




Baada ya Taarifu hiyo Lemutuz aliandika hivi:
- Saafi sana tunataka Viongozi wanaoweza kutoa majibu magumu kwa matatizo magumu, Waziri hawezi kukurupuka kuna wasaidizi wake maalum wengi wa kumfanyia utafiti kabla ya kutoa maamuzi mazito kama haya tena kwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, Wahusika wote wa Luku walishafika mahali wakajisahau na kudhani kwamba na wao ni Serikali flani ndani ya Serikali yetu,

- Ninamuunga mkono Waziri kwa huu uamuzi nimesikia sana malalamiko ya Umeme na Luku, enough imetosha sasa waende wapewe wengine saafi sana!!

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post