Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akishiriki katika swala ya maiti kumswalia Bi Mwanaidi Zamir Haji
miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja katika msikiti wa marehemu
aliyefariki kwa ajali ya gari iliyopinduka huko Mtowapwani Kaskazini
jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akitia udongo katika kaburi la Marehemu Bi Mwanaidi Zamir Haji
miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja aliyefariki kwa ajali ya gari
iliyopinduka huko Mtowapwani Kaskazini jana na kuzikwa leo katika
makaburi ya Mwanakwerekwe.
Baadhi
ya wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu walioshiriki katika maziko
ya Marehemu Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini
Unguja aliyefariki kwa ajali ya gari iliyopinduka huko Mtowapwani
Kaskazini jana na kuzikwa leo katika makaburi ya Mwanakwerekwe.SOURCE Michuzi