Kijana anayejulika kama Mayunga ameitoa kimasomaso Tanzania baada ya kushinda shindano la music lijulikanalo kama Airtel Trace Music lililoshirikisha nchi kumi na mbili za Africa , shindano hilo lilifanyika jumamosi iliyopita nchini Nairobi ..Kwa ushindi huo Mayunga amepata deal la kuwa chini ya Record label ya Mwanamuziki Akon ijulikanayo kama Kon live na Universal music Group.... Mayunga anaungana na kina Diamond na Idriss katika kuitangaza Tanzania vizuri katika ramani ya Dunia kwenye maswala ya burudani
Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.