Header ads

Header ads
» » » TeKnolojia mpya ya Watu kuishi maisha ya kimapenzi na Maroboti


 Ulimwenguni sayansi na technolojia imeendelea kukuwa kwa kasi sana kupelekea tishio sasa la watu kuanza kufunga ndoa na Marobot kama wake au waume na kuishi maisha ya kimapenzi
 Sex robot
Wakati wasiwasi ukiendele kutanda kuwa Roboti anaweza kuchukua nafasi ya kimapenzi kwa mwenza wako na akafanya vizuri zaidi, Maumbile ya marobiti yameendelea kuboreshwa hatakufikia kuwa na mvuto kama binadamu wa kawaida.
Wataalamu wa tekinolojia wameendela kueleza kuwa marobot wanaendelea kuboreshwa zaidi na kufanana zaidi na binadamu ilikuweza kuamsha hisia za kimapenzi.
28-year-old man marries an inflatable doll
Dr Kevin Curran, mshirika mkogwe wa Institute of Electronic napia ni  ‘Electrical Engineer’ na ni ‘computer scientist’ wa chuo kikuu cha Ulster, amezidi sema ujio wa ‘cloud computing’ unaweza ongeza ubora zaidi wa robot hao kuwa natabia na mienendo itakayo fanana zaidi na binadamu wa kawaida. 

Chanzo: mirror.co.uk

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post