Header ads

Header ads
» » Mitandao ya kijamii yafungwa baada ya mitihani kuvuja Ethiopia


Ethiopia yafunga mitandao yote ya kijamii baada ya maswali ya mtihani wa mwisho wa mwaka kusambaa mitandaoni mwezi uliopita.
Jambo hilo lilipelekea kuwa na kashfa ya kitaifa na hata kufutwa kwa usajili wa baadhi ya wanafunzi.
Mitandao ya Facebook,Twitter na Viber imefungwa tangu Jumamosi asubuhi.
Kwa mujibu was msemaji wa serikali,ni kwamba mitandao ya kijamii ni tatizo kwa maisha ya mwanafunzi na hivyo basi Ethiopia imeamua kuzifunga kwa muda mfupi .
Mitandao hiyo itafungwa hadi siku ya Jumatano wiki hii. 

Chanzo: aljazeera.com

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post