kampuni ya apple ilizindua vifaa vyake ikiwemo iPhone SE pamoja na iPad Pro 9.7 kwa mojibu wa majarida mbalimbali iPad Pro 9.7 ni nzuri na inauwezo wa kukaa na chaji muda mrefu pia kioo chake chenye inch 9.7 kinakamilisha ubora wa iPad hiyo mpya pia iPad hiyo inakuja na keyboard inayokuwezesha kutumia iPad hiyo kama laptop.
Pia iPad pro 9.7 inauzwa kwa bei kubwa kidogo kwa tanzania japo sio sana lakini pia ipad pro inakuja na iOS mpya ya 9.3 ambayo itakuwezesha kupata mtazamo mpya wa Vifaa vya Apple.
Chanzo: Pcmag.com