Kampuni ya kufanya ukarabati wa magari ya Korea ya Kia Motors ina mipango wa kufunguo vituo vya kutolea mafunzo kuhusu marekebisho na matengezo ya magari nchini Kenya na Ethiopia.
Vilevile kampuni hiyo katika mataifa hayo mawili ya Afrika Mashariki,itatoa mafuzo ya kazi na miradi ya kutoa elimu kuhusu ya ujasiriamali.
Mnamo tarehe 27 mwezi Mei kampuni hiyo ya magari ilifanya tamasha kwa ajili ya ukarabati wa magari nchini Ethiopia na inatarajiwa kufanya tena sherehe nyingine nchini Kenya.
Miradi hiyo ya kampuni katika mataifa ya Afrika Mashiriki ni katika mipango ya Programu ya Green Light iliyo na lengo la kuinua uchumi wa nchi katika kanda hiyo ya bara la Afrika.