Header ads

Header ads
» » Zimbabwe yapinga pendekezo la kampuni za simu kupiga marufuku Matumizi ya WhatsApp na Skype

Serikali ya Zimbabwe imekataa pendekezo la kampuni za simu kupiga marufuku huduma ya Over The Top{OTT} kama vile WhatsApp na Skype ,waziri mmoja amenukuliwa katika gazeti la Herald akisema.

Kampuni hizo zilitoa ombi la huduma ya OTT zisimamiwe akihoji kwamba zinawazuia kupata faida. 

Waziri wa habari na teknolojia Supa Mandiwanzira alisema.
''Tulisema kwamba sisi kama taifa endelevu ambalo linakuza teknolojia tunapuuza wazo hili la kuzipiga marufuku teknolojia hizi" ,

Supa Mandiwanzira, the Minister of ICT
 Supa Mandiwanzira Waziri wa habari na teknolojia Zimbabwe
Wabunge nchini Afrika Kusini pia wamekuwa wakilijadili ombi hilo la makampuni ya simu kusimamia huduma hizo za OTT ambazo zinaonekana kuwa rahisi kwa matumizi 

CHANZO: answersafrica.com
MHARIRI: Abdallah magana

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post