Header ads

Header ads
» » Program mpya ya kufanya malipo "Android Pay" kuzinduliwa Uingereza


Program mpya ya kufanya malipo ya ' Android Pay' itazinduliwa rasmi nchini Uingereza ndani ya siku chache.
Malipo kupitia Android Pay yanaweza kufanywa kwa kutumia simu aina ya Smartphone kupitia Mastercard,kadi za mikopo na kadi za kuhifadhi pesa.
Wasafiri ndani ya mji wa London pia wataweza kufanya malipo katika mabasi na treni .
 
Aidha programu hiyo ya kufanya malipo pia itaweza kutumika kufanya malipo katika maduka mbalimbali makubwa mjini London.
Android Pay itashindana na program sawia ya Apple Pay kutoka kampuni ya Apple ambayo itazinduliwa mwezi Julai Uingereza.

CHANZO: engadget.com/
MHARIRI: Abdallahmagana.com

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post