Header ads

Header ads
» » Papa Francis ajiunga na mtandao maarufu wa Instagram


Kiongozi mtakatifu wa kanisa Katoliki Papa Francis ajiunga na mtandao wa kuweka picha wa Instagram na kushabikiwa na watu zaidi ya 300,000.
 A first ... The Instagram account of Pope Francis was launched on the anniversary of his inauguration as leader of the Catholic Church. Picture: AFP
Papa aliweka picha yake ya kwanza katika na kutuma ujumbe wa amani kwa ulimwengu.
Katika profili yake ya Instagram Papa alitoa maelezo ya kuhamasisha huruma na kufuata njia ya Mungu kwa wasomaji. 

CHANZO: radiovaticana
MHARIRI: Abdallahmagana.com

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post