Header ads

Header ads
» » Rais wa Guatemala atupwa jela kwa makosa ya ufisadi na udanganyifu katika sera yake

 Rais wa Guatemala atupwa jela

Rais wa Guatemala Otto Perez awekwa jela baada ya kujiuzulu Jumatano kwa makosa ya ufisadi na udanganyifu katika sera yake

Otto Perez alishtakiwa kwa kuunda kashfa iliyokuwa na jina la siri la "La Linea".Waingizaji wa bidhaa nchini walitumia "La Linea" kuingiza bidhaa nchini bila ya kuzilipia ushuru wa forodha na badala yake walitoa rushwa.
Wananchi chini humo walifanya maandamano ya kumtaka rais huyo ajiondoe madarakani kwa shutma za ufisadi.
Perez ametajwa kuwa rais mfisadi zaidi katika historia ya marais wa Guatemala

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post