Header ads

Header ads
» » Mtu mfupi kuliko wote afariki akiwa na umri wa miaka 75

 Mtu mfupi kuliko wote afariki akiwa na umri wa miaka 75

Mtu mfupi kuliko wote duniani afariki akiwa na umri wa miaka 75 akiwa hospitali

Raia wa Nepal anaefahamika kwa jina la Chandra Bahadur Dangi ambae alivunja rikodi ya mtu mfupi kuliko watu duniani katika Guinness Wordl Recording za mwaka 2012.
Chandra amefariki katika hospitali ya Lyndon B. Johnson Tropical Medical Center inayopatikana Pago Pago katika kisiwa cha Samoa kilichoka chini ya mamlaka ya Marekani Kusini mwa bahari ya Pasifiki Ijumaa.
Chandra Dangi alikuwa na kimo cha sentimita 54,6 na uzito wa kila 12.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na daktari aliekuwa akisimamia matibabu ya Dangi, alifahamisha kuwa Dangi alifariki kutokana na maradhi monia yaliokuwa yakimsumbua.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post